Ukweli na Uwazi.com

Ukweli na Uwazi.com

Share

LIKE PAGE HII KWA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA...KITAIFA NA KIMATAIFA

21/09/2026

KUNA MUDA TZ ILIKUWA INAPIGWA MBUNGI HUJUI UMKABE NANIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

21/09/2026
27/01/2026

Kijana wa KISAFWA kutokea pale IZUO-MBALIZI-MBEYA Tz.

15/03/2022

Usimlize kwasababu tu UMEMUOA, au mmezaa WATOTO, ukadhani itakuwa kigezo cha KUMTESEA MILELE.

Kumbuka kila mwanadamu amezaliwa na ROHO YA KUUTAFUTA UHURU na FURAHA, mwanzoni kwa sababu anaamini bila wewe HAWEZI KUISHI atavumilia.

Wakati wa kuutafuta UHURU wa NAFSI YAKE na FURAHA ukifika, atagundua kumbe anaweza kuishi bila wewe na akafurahi na kufanikiwa,

Hapo ndipo atakapokugeuzia kisogo, BAHATI MBAYA ZAIDI utatamani ajirudi awe k**a zamani lakini utakuwa umechelewa.

HATA UFANYE KITU GANI, atakuwa asha KUFORMAT kwenye moyo wake, hivyo itakuwa zamu yako KUPATA MAUMIVU

Baada ya hapo njia pekee ili ubaki na furaha ni kuukubali UKWELI na KUMUACHA aishi maisha aliyoyachagua ambayo kimsingi WEWE NDO ULIMFANYA ayatafute.

Kwasababu hata ukilazimisha awe na wewe, hawezi kukupenda tena. Hisia zake kwako znakuwa marehemu

FURAHA KWAKO KUNA SEHEMU NYINGINE ataipata. Usimwadhibu maumivu kwa kukupenda.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukweli na Uwazi.com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mwanza.