Shineplus1
π Mfalme wa Usafi
π§Ό Professional Cleaning Services
π Homes | Offices | Apartments
β¨ We make every space shine!
π DM for bookings
Sio kwa ubora tuβ¦ β¨
Shine Plus pia ina manukato ya kunukia yanayoacha nguo zako zikinukia fresh! π«§πΈ
Fua kwa usafi, ngβaa kwa ubora, na furahia harufu ya kuvutia! πβ¨
10/08/2026
πβ¨ SHINE PLUS ROAD SALE IMEFIKA! π«§π₯
Tunakuja moja kwa moja mtaani kwako! π
Pata Shine Plus kwa bei maalum na ujionee mwenyewe nguvu ya usafi wa kiwango kingine. πͺπ§Όβ¨
π Usikose kutupokea tunapopita eneo lako!
π Nunua. Fua. Shine. Shinda! π
ππ«§ SHINE CHALLENGE IS HERE! π«§π
Una ubunifu? Una uwezo wa kutengeneza video inayovutia? Hii ni nafasi yako ya KUWASHINDA WOTE na kujishindia mamilioni! π₯β¨
Tengeneza video ya kipekee na yenye ubunifu ukitumia Shine Plus, kisha shiriki kwenye ukurasa wako na uingie kwenye ! ππ§Ό
π₯ Mshindi wa Kwanza β TZS 3,000,000/= π°
π₯ Mshindi wa Pili β TZS 2,000,000/= π°
π₯ Mshindi wa Tatu β TZS 1,000,000/= π°
π
Washindi watachaguliwa kulingana na idadi ya Likes na Comments watakazopata kwenye video zao! π₯
Usibaki nyumaβonyesha ubunifu wako, kusanya Likes na Comments, halafu FUA, SHINE & SHINDA! π«§β¨π
π«§β¨ SUBIRA IMELIPAβ¦ SHINE PLUS HATIMAYE IMEWASILI! β¨π«§
Baada ya countdown, siri na kusubiri kwa hamuβ¦ sasa ni rasmi! ππ₯
Tunakuletea SHINE PLUS β kiwango kipya cha usafi, mngβao na nguvu ya kufua ! πͺπ§Ό
Sio tu sabuniβ¦ ni mwanzo wa experience mpya kwenye usafi. πβ¨
Je, uko tayari kufua, kungβaa na kushinda? ππ«§
Karibu kwenye ulimwengu ya SHINE PLUS! πβ¨
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |
| Saturday | 08:00 - 18:00 |
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Shineplus1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.