lavish herbs company
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from lavish herbs company, Health/Beauty, kariakoo SIKUKUU na agrey, Dar es Salaam.
22/09/2026
Leo maboss zangu wameniamulia sana
Asante sana
Mungu azidi kuwabariki
Amin
22/09/2026
Zitakuwepo dukani baada ya mwezi
Mnahitaji mnitext dm niwaweke kwenye oroza ili zikifika iwe kipaumbele kwenu
Huitajiki kulipa kwa sasa mpaka zitakapofika
Nataka niwaweke kwenye list ili msije kukosa kwa ambao mmezisibiria sana
22/09/2026
Zipo dukani
70,000 now 45,000
Matumizi 1 mara 1
Zinakaa 60
Inasaidia
Kuongeza kiwango cha bacteria wazuri tumboni
Kuboresha afya ya kuta za utumbo
Usagaji wa chakula tumboni
Tatizo la infetion ya mkojo
Gesi nyingi tumboni
H pylori
Kuharisha
Kutapika
Vidonda vya tumbo
22/09/2026
Mbarikiwe sana wateja wangu
mtakuwa mnakutana na surprise za vizawadi kwenye mizigo yenu 🥰
22/09/2026
Watu wa huu mkoa ....
Shikamooni sana 🥰
Mungu azidi kuwabariki amin
Zimeisha
22/09/2026
Wenye ACID REFLUX kwa uwezo wa Mungu mtapona Amin
Hakikisha unafuata muongozo na unatumia dawa sahihi panapobakia muachie Mungu
Amin
21/09/2026
Asanteni kwa mirejesho
21/09/2026
Asanteni sana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kariakoo SIKUKUU Na Agrey
Dar Es Salaam
160702
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when lavish herbs company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.