FeyFah Cosmetics
FeyFah cosmetics wauzaji wa vipodozi na bidhaa za asili za ngozi FEYFAH PRODUCTS
https://chat.whatsapp.com/L6JAc1LjCeRJaZMkytdpYd
06/06/2026
Hellow mpendwa wangu naomba nipigie kura niweze kuwa mshindi
Link nii hii hapa ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja utachagua jina SALMA SULEIMAN BEST COSMETICS.
KISHA UKISHAPIGA KURA UTASHUKA CHINI UTAWASILISHA KURA YAKO ASANTE SANA
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeMPeIngLIz3meOgrywxHUmMJKQmVUn9iQAZj2rYlYtpqLAyw/viewform?fbzx=-2615392482017843322&utm_source=ig&utm_medium=social&utm_content=link_in_bio&fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAc3J0YwZhcHBfaWQPNTY3MDY3MzQzMzUyNDI3AAGneEQgKe2IAe7d9BxTdENOUOjgeKb7iq8-nMCE3De3KTedzXpAhILHPOhD4qU_aem_JsncnCF1LshfyEsc5O3VSQ
06/06/2026
UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI USO NI MWEUSI KULIKO TUMBO AU MAPAJA?
💚 Maeneo yasiyopigwa na jua mara kwa mara k**a tumbo, mapaja ya ndani na matiti huwa mepesi kuliko uso, mikono na miguu.
💚 Msuguano wa ngozi kwenye maeneo k**a mapaja, kwapa na shingo unaweza kusababisha kuwa na rangi nyeusi zaidi.mapaja yaliyoshikana husababisha msuguano na kupelekea kuwa meusi zaidi ya sehem zingine za mwili
💚 Mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri uzalishaji wa rangi ya ngozi (melanin).
💚 Madoa yanayotokana na chunusi, michubuko au muwasho yanaweza kufanya baadhi ya maeneo yaonekane meusi zaidi.
💚Kurithi kutoka kwa wazazi pia kunaweza kuchangia kuwa na tofauti za rangi mwilini. Hapa tuongelee hasaa wazaz wawili wenye rangi tofauti kuna mawili uwe mweupe mwili mzima au uoate rangi 2 za wazaz wako wote wenye rangi tofauti .na hii ndio wengi sana tuko hivyo.
01/06/2026
Tabasamu moja linaweza kubadilisha siku nzima. Leo nachagua kutabasamu tu. 😊🌸
゚viralシfypシ゚viralシalシ
゚viralシfypシ゚viralシalシ # #
Elfu 35000 tu
Kiufupi vipodozi vikali haviendani wala.kupatana na jua
20/04/2026
Serum ya feyfah ni serum.nzuri sana kwa uso unaosumbuliwa na chunusi madoa
Rangi isiokaa sawa
Wekundu usoni
Mafuta na ukavu sana wa ngozi
Serum hii haichubui
Inaleta unyevunyevu sababu ya hyaluronic acid
Inatumika kwa jinsia zote
Bei 15000
0684117445
16/04/2026
Slim tea 15000 jumla
20000 reja
0684117445
Rozana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 20:00 |
| Tuesday | 09:00 - 20:00 |
| Wednesday | 09:00 - 20:00 |
| Thursday | 09:00 - 20:00 |
| Friday | 09:00 - 20:00 |
| Saturday | 09:00 - 20:00 |
| Sunday | 09:00 - 20:00 |