Hair by skylar 1

Hair by skylar 1

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hair by skylar 1, Health/Beauty, Dar es Salaam.

05/08/2026

Karibu SKYLAR LUXE BROWS ✨studio💁🏽‍♀️✨|Hair slay👑| Glow Up🎨

✨Tunatoa huduma yakuchora wanja wakudumu miaka( microshading)

✨Tunafanya touch 75000

✨Kuanza kuchora wanja 130000

✨Home service 180000 mpaka 150000 inategemea na umbali uliopo

✨Lashes extensions 25000

➡️Tunatumia numbing cream hakuna maumivu au maumivu kidogo sana

➡️Shape huchorwa kulingana na mteja atakavyochagua

➡️Rangi atakayochagua mteja

❌Usinywe pombe ndani ya masaa 24

📍mbezi beach rafia karibu na kanisa la st kizito

26/07/2026

Wanja wakudumu miaka 2

✨wanja wetu hauna madhara yeyote anachora mtu mwenye ngozi aina yeyote

✨kabla yakuchorwa mteja utachorwa kulingana na rangi na shape atakayochagua

✨Hakuna maumivu wakatu wa huduma Tunatumia numbing cream

RANGI👇🏻
✨black
✨brown
✨blacksh brown

17/07/2026

Wanja wakudumu miaka 2

✨wanja wetu hauna madhara yeyote

✨wakati wakuchorwa hakuna maumivu yeyote

✨Tunatumia numbing cream kuhakikisha mteja yuko comfortable

✨Mteja atachagua shape na rangi anayopenda yeye

Bei 130000

Booking Appointment

17/07/2026

Before $ After touch up

Wateja wa SKYLAR LUXE BROWS ✨studio💁🏽‍♀️✨|Hair slay👑| Glow Up🎨 ni mda wa touch up sasa

Booking appointment

14/07/2026

🤎 Nyusi nzuri si bahati, ni uchaguzi.
Chagua Microshading kwa mwonekano wa natural, wa kifahari na unaodumu.
Luxury begins with perfect brows.

✨ Class is in the details.
Nyusi zako zinaweza kubadilisha mwonekano wa uso wako kwa uzuri wa asili na confidence ya kila siku. 🤎

Urembo wa asili haupitwi na wakati. 🤍
Chagua Microshading kwa nyusi zenye umbo kamili na mwonekano wa kuvutia.

SKYLAR LUXE BROWS ✨studio💁🏽‍♀️✨|Hair slay👑| Glow Up🎨

11/07/2026

Hellow my beautiful client 👇🏻

✨ SKYLAR LUXE BROWS ✨studio💁🏽‍♀️✨|Hair slay👑| Glow Up🎨 hatuchori tu wanja tunajifunza namna yakujua uso wako na wanja utakavyokaa

✨Tunapata maswali mengi kuhusu wanja kutokulingana

✨Kikawaida nyusi hazilingani

Nyusi zako ni zako hazifanani na uso wako haulingani za mwingine

Hakuna uso unaolingana kwa asilimia 100, hivyo hakuna nyusi zinazoweza kufanana kikamilifu. Katika microblading/microshading, lengo ni kuleta uwiano na muonekano wa asili, si ukamilifu.

Nyusi nzuri hazipatikani kwa kuzilazimisha zifanane kabisa; zinapatikana kwa kuboresha na kuendana na umbo la asili la uso wako. ✨

05/07/2026

Naombeni Wateja mnipe oda zenu Nyie wenyewe Mnasikia Hakuna kupewa hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Booking Appointment na SKYLAR LUXE BROWS ✨studio💁🏽‍♀️✨|Hair slay👑| Glow Up🎨

04/07/2026

Booking Appointment

130000

04/07/2026

Artist

Booking appointment 📅

04/07/2026

✨ Elegant Microshading – Uzuri wa nyusi unaodumu na kuonekana wa asili.

✔️ Hudumu kwa miaka 2 hadi 3 kulingana na aina ya ngozi na matunzo ya baada ya huduma.
✔️ Hakuna maumivu makali wakati wa huduma.
✔️ Hakuna kidonda kikubwa kinachobaki baada ya kufanya Microshading.
✔️ Muonekano wa natural, soft na elegant.
✔️ Huokoa muda wa kuchora nyusi kila siku.
✔️ Hupangwa kulingana na sura ya uso wako ili kupata matokeo bora zaidi.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hair by skylar 1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.