SculptArmy

SculptArmy

Share

Sculptarmy is a Fitness and well being brand for everybody. Get your high quality workout gears.

28/07/2026

Product: SculptBand
Price: 20,000tsh

✅Ni moja kati kifaa kizuri na rahisi sana kutumia na wala hakina ugumu kwenye matumizi yake na pia kina faida kubwa sana kwa watumiaji

1: Ni rahisi sana kubebeka na hakina uzito mkubwa.
2: Hakina gharama, either kwa kukinunua au kukitumia kulinganisha na vifa vingine vikubwa.
3. Husaidia katika kukaza nyama zembe ziliolegea mwilini mfano mgongo, tumbo na nyama za mikononi
4: Kuishughulisha misuli na kupona kwa haraka maumivu ya misuli, mifupa na viungo.

📞Call & Shop-0657164909
📍 Kunduchi Mall, First floor
🛵 Delivery mpaka mlangoni

27/07/2026

🤩Sculpt Stick never disappoints, Feedback from our Customer

Sculpt stick Price: Tsh 50,0000/=
➡️Faida za sculpt stick

✳ Inahimiza thermogenic wakati wa mazoezi hivyo ni kichocheo cha metabolosm na kuchoma mafuta
✳ Inaboresha mzunguko wa damu na kuongezeka kwa jasho

✳ Inakaza ngozi ya mwili na kulainisha ngozi pamoja na kupunguza selulosi( michirizi)

Ps: Kwa wale wanaotaka matokeo mazuri kwa muda mfupi, paka Sculpt stick kabla ya workout yako itakusaidia kuburn fat kwa haraka sana.

Call & shop-0657164909
📍Kunduchi Mall, First floor

20/07/2026
14/07/2026

💧 Jitengenezee kinywaji chenye afya kwa kutumia viambato vya asili! 🌿🍋

Faida za kila kinywaji:

💧 1. Detox Water (Maji + Ndimu + Mnanaa + Tango)
* Husaidia kuongeza unywaji wa maji mwilini.
* Hutoa hisia ya ubichi na ubaridi.
* Tango huchangia kuongeza maji mwilini.
* Ndimu huongeza ladha na kiasi cha Vitamin C.

🥥 2. Electrolyte Hydration Drink (Maji ya N**i + Limao + Chia Seeds + Berries)
* Hurejesha maji na madini muhimu mwilini.
* Maji ya n**i yana electrolytes k**a potassium.
* Chia seeds zina nyuzinyuzi (fiber) na omega-3.
* Berries zina antioxidants zinazosaidia kulinda seli.
* Ni kinywaji kizuri baada ya mazoezi au siku za joto.

🍵 3. Immunity Tea Drink (Green Tea + Tangawizi + Asali + Ndimu)
* Green tea ina antioxidants.
* Tangawizi inaweza kusaidia kupunguza usumbufu wa koo na mmeng’enyo wa chakula.
* Asali hutuliza koo na huongeza ladha.
* Ndimu huongeza Vitamin C.
* Kinywaji kizuri hasa wakati wa baridi au asubuhi.

💬Ni kinywaji gani kati ya hivi ungependa kujaribu leo? Tuambie kwenye comments! 👇

14/07/2026

Stay consistent. Stay disciplined. Results will follow. 🔥

✅You can do it

14/07/2026

💧 Jitengenezee kinywaji chenye afya kwa kutumia viambato vya asili! 🌿🍋

Faida za kila kinywaji

💧 1. Detox Water (Maji + Ndimu + Mnanaa + Tango)

* Husaidia kuongeza unywaji wa maji mwilini.
* Hutoa hisia ya ubichi na ubaridi.
* Tango huchangia kuongeza maji mwilini.
* Ndimu huongeza ladha na kiasi cha Vitamin C.

🥥 2. Electrolyte Hydration Drink (Maji ya N**i + Limao + Chia Seeds + Berries)

* Hurejesha maji na madini muhimu mwilini.
* Maji ya n**i yana electrolytes k**a potassium.
* Chia seeds zina nyuzinyuzi (fiber) na omega-3.
* Berries zina antioxidants zinazosaidia kulinda seli.
* Ni kinywaji kizuri baada ya mazoezi au siku za joto.

🍵 3. Immunity Tea Drink (Green Tea + Tangawizi + Asali + Ndimu)

* Green tea ina antioxidants.
* Tangawizi inaweza kusaidia kupunguza usumbufu wa koo na mmeng’enyo wa chakula.
* Asali hutuliza koo na huongeza ladha.
* Ndimu huongeza Vitamin C.
* Kinywaji kizuri hasa wakati wa baridi au asubuhi.

Ni kinywaji gani kati ya hivi ungependa kujaribu leo? Tuambie kwenye comments! 👇

09/07/2026

We love Feedbacks☺️….A feedback from our lovely customer Sculpt stick imempatia zaidi ya matokeo Aliyokua anatarajia….karibu ujipatie yako sasa💧

Product: Sculpt Stick
Price: Tsh 50,0000/=
➡️Faida za sculpt stick

✳ Inahimiza thermogenic wakati wa mazoezi hivyo ni kichocheo cha metabolosm na kuchoma mafuta
✳ Inaboresha mzunguko wa damu na kuongezeka kwa jasho

✳ Inakaza ngozi ya mwili na kulainisha ngozi pamoja na kupunguza selulosi( michirizi)

Ps: Kwa wale wanaotaka matokeo mazuri kwa muda mfupi, paka Sculpt stick kabla ya workout yako itakusaidia kuburn fat kwa haraka sana.

Njoo ujipatie bidhaa hii nzuri kwa matokeo mazuri ndani ya muda mfupi…

📞0657164909
📍Kunduchi Mall, First floor
🛵We do deliveries

07/07/2026

Happy Saba Saba Day🇹🇿

👉🏾Shop online today.!! Pick up at our store or get it delivered tomorrow🛍️

📞Call & shop
📍Kunduchi Mall, First floor
🛵 we do deliveries

07/07/2026

Happy Saba Saba Day🇹🇿

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Haile Selaisse 153
Dar Es Salaam
14001

Opening Hours

Monday 10:00 - 20:00
Tuesday 10:00 - 20:00
Wednesday 10:00 - 20:00
Thursday 10:00 - 20:00
Friday 10:00 - 20:00
Saturday 10:00 - 20:00
Sunday 10:00 - 20:00