Wanawake Na Suluhisho

Wanawake Na Suluhisho

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wanawake Na Suluhisho, Health/Beauty, makumbusho, Dar es Salaam.

Nawasaidia Wanawake Kuondokana Na Changamoto Zinazowakabili Katika Mfumo Wao Wa Uzazi Na Magonjwa Yanayowakabili K**a Vile Fangas, P.I.D, U.T.I, Kushindwa Kubeba Ujauzito, Mimba Kutoka Mara Kwa Mara, Uchafu Na Harufu Mbaya Ukeni n.k

09/10/2026

Umepungukiwa Hamu Ya Tendo La Ndoa? Au Uke Wako Umeanza Kuwa Mkavu?

Kuna wanawake wengi wanapitia hali hii kimya kimya…

✍Unampenda mwenza wako

✍Unataka kuwa karibu naye…

Lakini unapofikiria tendo la ndoa, hamu haipo k**a zamani...

Si Ndio...

Na wakati mwingine ukianza tendo, uke unakuwa mkavu kiasi kwamba tendo linakuwa la usumbufu au hata maumivu...

Unaanza kujiuliza:

🎯“Kuna tatizo gani kwangu?”

🎯“Kwa nini zamani nilikuwa na hamu, lakini sasa sina?”

🎯“Kwa nini mwili wangu hautoi ute k**a zamani?”

🎯 “Je, mwenza wangu ataona k**a simpendi?”

✍ Usijilaumu....

Ukavu ukeni na kupungua kwa hamu ya tendo kunaweza kuhusishwa na mambo mbalimbali k**a..

💢Mabadiliko ya homoni

💢Msongo wa mawazo

💢Uchovu

💢Kunyonyesha

💢Baada ya kujifungua

💢Matumizi ya baadhi ya dawa

💢Maambukizi au matatizo mengine ya kiafya...

Na jambo muhimu ni hili:

Ukavu ukeni hauimaanishi kwamba humpendi mwenza wako...

Wakati mwingine tatizo si mapenzi bali mwili wako unaweza kuwa unapitia mabadiliko yanayohitaji uchunguzi
Lakini usikae kimnya huku ukiendelea kuteseka

K**a hali hii imekuwa ikikusumbua mara kwa mara, ni muhimu kutafuta chanzo chake na kupata tiba
Lakini pia tuna package nzuri kwa wanawake wote wanaopitia ukavu na kukosa hamu ya tendo la ndoa

Kwa ushauri na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa :

Simu/ WhatsApp:

+255 716 778 844

05/10/2026

“Baada ya Kuacha Uzazi wa Mpango, Kwa Nini Hedhi Yako Haijarudi?”

“Uliacha uzazi wa mpango lakini miezi inapita bila kuona hedhi?

Wanawake wengi wanapokuwa wanatumia uzazi wa mpango, mzunguko wa hedhi unaweza kubadilika

Baada ya kuacha, kwa baadhi ya wanawake hedhi hurudi ndani ya muda mfupi, lakini kwa wengine inaweza kuchukua muda

Kurudi kwa hedhi huwa ni baada ya mwezi 1-3 kutegemeana na njia uliyotumia
Lakini njia k**a depo hutumia miezi 6 mpaka mwaka ndipo mwanamke aanze kuona hedhi yake

Lakini kuna jambo muhimu: kukosa hedhi kwa muda mrefu si jambo la kupuuza

Sababu zinaweza kuwa mbalimbali, k**a:

💢Ujauzito

💢Mabadiliko ya homoni

💢PCOS

💢Msongo mkubwa wa mawazo

💢Kupungua au kuongezeka sana kwa uzito

💢Matatizo ya tezi ya thyroid

💢 Matumizi ya baadhi ya dawa

💢Matatizo mengine yanayohitaji uchunguzi wa kitabibu
Pia kuna magonjwa unaweza kuwa nayo yakajificha wakati unatumia uzazi wa mpango k**a PCOS, hormones imbalance na matatizo ya tezi ya thyroid
⚠️ Jambo Muhimu Kwa Mwanamke Ni Hili

K**a umeacha uzazi wa mpango na hedhi haijarudi kwa muda mrefu, usikimbilie kutumia dawa za “kuleta hedhi” bila kujua chanzo chake kwanza
Usivumilie eti unakaa bila kuona hedhi miaka 2 au 3 hii itakuletea shida
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane kwa :


Simu/whatsapp: +255716778844

28/09/2026

Bawasiri Inakufanya Uogope Hata Kwenda Haja?

Maumivu wakati wa kujisaidia, kuwasha, kuvuja damu au kuhisi k**a kuna uvimbe au kinyama kwenye njia ya haja kubwa vinaweza kufanya uogope hata kukaa, kutembea au kwenda chooni

Usipuuzie dalili zinazoendelea. Tuna program nzuri ya bawasiri ambayo imeandaliwa kwa ajili ya kusaidia kupunguza usumbufu unaohusishwa na bawasiri na kukusaidia kurudi kwenye maisha ya kawaida.

Program hii itakusaidia katika mambo yafuatayo:

✅ Itakusaidia kupunguza maumivu na miwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

✅ Itakusaidia kupunguza usumbufu wakati wa kwenda haja

✅ Itakusaidia kuondoa ile hali ya kutokwa damu wakati wa haja kubwa

✅ Itaenda kupunguza ule uvimbe na kinyama sehemu ya tundu la haja kubwa

Kwa mawasiliano zaidi :

Simu/WhatsApp: +255 716 778 844

Tuma ujumbe au piga simu kwa maelezo zaidi kuhusu Program hii
Usiendelee kuvumilia maumivu kimya kimya. Chukua hatua ya kupata ushauri unaofaa

24/09/2026

🌸 MWANAMKE, HUU NI MWALIKO WAKO MAALUM! 🌸
Je, umewahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya wanawake wanaendelea kukua na kufanikiwa licha ya changamoto za maisha, wakati wengine wanakata tamaa njiani?
💐 WOMEN BREAKFAST imeandaliwa kwa ajili yako — mwanamke unayetaka kujifunza, kukua na kujenga maisha bora zaidi.

Katika semina hii utapata nafasi ya kujifunza:

🩷 Afya ya mwanamke – mambo muhimu ambayo kila mwanamke anapaswa kuyajua kuhusu afya yake.

💰 Elimu ya biashara – namna ya kuanza, kukuza na kuendesha biashara kwa mtazamo wa kujenga kipato.

💪 Namna ya kukabiliana na changamoto za maisha – kujenga ujasiri, kufanya maamuzi sahihi na kutokubali changamoto zikuzuie kusonga mbele.

Maendeleo binafsi – kujifunza namna ya kujijenga, kujiamini na kuona fursa ambazo huenda ulikuwa huzioni.
🤝 Na zaidi ya yote, utakutana na wanawake wengine wenye ndoto, malengo na kiu ya kufanya mabadiliko katika maisha yao.

Hii siyo breakfast ya kawaida… ni nafasi ya mwanamke kujifunza, kuungana, kupata maarifa na kuanza safari mpya. ❤️

✨ K**a wewe ni mwanamke mwenye ndoto kubwa, usikose nafasi hii

📩 Nitumie ujumbe sasa ili upate taarifa kamili za Women Breakfast na namna ya kushiriki

Mwanamke mwenye maarifa ana nguvu ya kubadilisha maisha yake na kuwagusa wengine..
Tuwasiliane kwa :

Simu/whatsapp : +255716778844

20/09/2026

Simu/whatsapp : +255716778844

Tuwasiliane kwa ushauri na tiba zaidi

16/09/2026

Bonyeza hii link 👇👇👇👇
https://afyayakondioutajiriwako.systeme.io/4bbc37c5-630ee545

Bonyeza hiyo link hapo juu ili uweze kupata elimu ya gernital warts/ maotea /vinyama vinavyoora sehemu za siri na jinsi ya kuondokana na changamoto hiyo...

16/09/2026

Epuka Kufanya Kosa Hili Ukiwa Na Mpenzi Wako...

16/09/2026

Bonyeza hiyo link hapo chini ili uweze kupata elimu ya gernital warts/ maotea /vinyama vinavyoora sehemu za siri na jinsi ya kuondokana na changamoto hiyo...

👇👇👇👇
https://afyayakondioutajiriwako.systeme.io/4bbc37c5-630ee545

05/09/2026

“Una Miwasho, Harufu Au Uchafu Ukeni? Usipuuze Dalili Hizi Maana Inawezekana Mwili Wako Unakuambia Kuna Tatizo!”
Wanawake wengi hupata uchafu ukeni, harufu isiyo ya kawaida na miwasho, lakini wakati mwingine hupuuzia wakidhani ni hali ya kawaida


K**a Unapata Pia Dalili K**a:

* Uchafu mwingi au wenye harufu mbaya

* Miwasho au kuwaka ukeni

* Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu

* Maumivu wakati wa tendo la ndoa

* Uchafu wenye rangi isiyo ya kawaida


Hizi zinaweza kuashiria maambukizi ya uke au mfumo wa uzazi na zinahitaji kuchunguzwa ili kujua chanzo chake halisi

Usijitibu kwa kubahatisha. Aina tofauti za maambukizi huhitaji matibabu tofauti.

Afya yako ya uzazi ni muhimu. Usisubiri dalili ziwe kali ndipo utafute msaada.


Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa

Simu/Whatsapp : +255 716 778 844

03/09/2026

Ukiona Unatoka Uchafu K**a Huu Tena Una Harufu K**a Shombo La Samaki Usipuuze Kabisa !!!!

Wanawake wengi wanapoona uchafu mweupe unaotoka ukeni wenye harufu isiyo ya kawaida hufikiria ni fangasi tu na kuanza kutumia dawa bila kufahamu chanzo...
Lakini kuna jambo muhimu unapaswa kulijua:

PID (Pelvic Inflammatory Disease) inaweza kusababisha uchafu usio wa kawaida ukeni, ambao wakati mwingine unaweza kuwa na harufu mbaya k**a shombo ya samaki
PID ni maambukizi yanayoweza kuathiri viungo vya uzazi vya mwanamke, k**a vile kizazi, mirija ya uzazi na ovari.

K**a una uchafu wenye harufu na wakati huo huo una:

❗ Maumivu ya chini ya tumbo au nyonga

❗ Maumivu wakati wa tendo la ndoa

❗ Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa

❗ Kutokwa damu kati ya hedhi au baada ya tendo la ndoa

❗ Homa au kujisikia mgonjwa

❗ Uchafu mwingi au wenye mabadiliko yasiyo ya kawaida

Usipuuze dalili hizi kabisa.....Hii ni PID kabisa

PID wakati mwingine inaweza kuwa na dalili chache au hata kutokuwa na dalili zinazoonekana wazi. Hii ndiyo sababu baadhi ya wanawake hugundua tatizo baada ya kuanza kupata maumivu ya muda mrefu ya nyonga na chini ya kitovu au changamoto ya kupata ujauzito

Kitu Ambacho Wanawake Wengi Hawajui Ni Kwamba..

Si kila uchafu mweupe wenye harufu ni PID....

Uchafu wa aina hii unaweza pia kusababishwa na matatizo mengine k**a bacterial vaginosis (BV), trichomoniasis au fangasi, kulingana na dalili nyingine zinazotokea...

Ndiyo maana ni muhimu kutafuta chanzo cha uchafu badala ya kutumia dawa kwa kubahatisha
K**a uchafu wako umebadilika na una harufu isiyo ya kawaida, hasa ukiambatana na maumivu ya chini ya tumbo au nyonga, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi na kupata matibabu sahihi.

Afya ya kizazi si jambo la kusubiri mpaka tatizo liwe kubwa.
Swali Langu Kwako Ni Hili Hapa Chini..

Je, umewahi kuwa na uchafu mweupe wenye harufu pamoja na maumivu ya chini ya tumbo?

Andika NDIO au PID kwenye comment k**a unasumbuliwa na PID au nitumie ujumbe k**a ungependa kujua zaidi kuhusu dalili za PID na hatua za kuchukua
Kwa ushauri zaidi wasiliana nami kwa:

Simu/whatsapp : +255716778844
゚viralシ

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wanawake Na Suluhisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.