Fatma's Luxe Home & Beauty
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fatma's Luxe Home & Beauty, Beauty, cosmetic & personal care, Dar es Salaam.
30/09/2026
30/09/2026
Electric pressure cooker
21/01/2026
GLASS SKIN SET β BODY CREAM + SERUM
Inakupa Ngozi laini, nyororo & inayowaka k**a kioo! π
K**a unapenda glow ya βK-Beauty Glass Skin,β basi hii ndiyo siri yake π
GLASS SKIN SERUM
π§ Inapenya ndani ya ngozi
π§ Ina-boost collagen & moisture
π§ Inafanya texture ya ngozi iwe smooth
π§ Inapunguza madoa & uneven tone
π§ Inatoa glossy healthy glow
GLASS SKIN BODY CREAM
β¨ Inalainisha sehemu nzima ya mwili
β¨ Inapunguza ukavu & roughness kwenye magoti, viwiko, mapaja,makalio
β¨ Inafanya ngozi iwe radiant & soft
β¨ Inalock moisture siku nzima
β¨ Ina βlit-from-within glowβ bila mafuta
Perfect kwa wenye ngozi:
β kavu
β yenye madoa
β uneven tone
β dullness
β au wanaotaka glow ya K beauty
Matokeo yanapendeza zaidi ukitumia SET:
SERUM (kuiamsha ngozi) + CREAM (kuilinda & kuiglow)
Karibuni sana
21/01/2026
Dot & Key Sunscreen SPF 50
Jamani siku zote Ngozi nzuri huanza na ulinzi sahihi!
Sunscreen hizi zina Vitamin C + E kwa ajili ya kuiupa ngozi mwanga (brightening), huku ikikupa SPF 50+ PA++++ kwa ulinzi mpana dhidi ya jua. Ni lightweight, haina mafuta, haiachi white cast, na inaingia haraka kwenye ngozi π
Inapatikana pia kwenye aina tofauti k**a:
π Watermelon Cooling β inatuliza na kupooza ngozi
π Strawberry Dew Tinted β inatoa tint laini ya kupendeza
π« Blueberry Hydrate β kwa wenye ngozi kavu, inahydrate vizuri
Perfect kwa aina zote za ngozi, kwa matumizi ya kila siku!
20/01/2026
Body cream hii ni nzuri kwa moisturiser ngozi yako
Inafanya ngozi kuwa laini
Inasaidia ngozi kuwa na unyevu siku nzima
Bei ni 22000
Karibu sana
Natuma popote kwa uaminifu
19/01/2026
This is one of the bestπ
Unatumia usoni na mwilini
Ina ngarisha vzur sana unakuwa na rangi moja mwili mzima
Inaondosha na haisababishi chunusi
Haina hydroqulosine
K**a unataka kungaa mwili mzima bila kuwa na rangi mbilimbili au sugu basi
Vita B3 ni chaguo Zuri kwako
Karibu sana
18/01/2026
PALMERβS COCOA BUTTER β HEAL THERAPY! β¨
Inasaidia Ngozi iwe laini, yenye afya, bila makovu wala ukavu πΌ
Bidhaa hii maarufu imechanganywa na Cocoa Butter + Vitamin E.
Kazi yake ni
β Kurekebisha ukavu mkali
β Kupunguza makovu & madoa (scars & marks)
β Kulainisha ngozi & kuifanya i-glow
β Kuimarisha elasticity ya ngozi
β Kuondoa harufu ya kukauka na kupasuka
Ni nzuri kwa:
πΏ Wenye ngozi kavu
πΏ Wanaopitia mabadiliko ya ngozi (k**a ujauzito au kupona vidonda)
πΏ Watoto & watu wazima
πΏ Kuondosha ukavu wa ngozi ya magoti, viwiko na nyayo
Harufu yake tamu ya Cocoa na texture yake laini inafanya skincare iwe raha kila siku π
Yaan una iponya ngozi yako,unang'aa na unailinda ngozi yako.
Ya chupa ni sh 26000
Ya kopo ni sh 22000
17/01/2026
Hii ni face wash
Ina salicylic acid ambayo inasaidia kuondosha dark sport,Pigmentation
Inazuia pia chunusi,inafungua pores
Kwa matokeo mazuri tumia mara 2 kwa siku(asubuhi na jioni)
Bei 36000
Natuma popote pale
14/01/2026
JE WAJUA Sababu 3 zinazosababisha ngozi kuonekana imechoka hata ukiwa unatumia products nzuri za ngozi:
Kukosa usingizi wa kutosha (collagen hushuka)
Stress + Cortisol (huongeza acne na dullness)
Kula sukari nyingi (inaharibu elasticity ya ngozi)
skin is not only about creams, ni about lifestyle pia
HVYO basi unaweza kutumia product na hukawa matokeo mazuri na wengne wametumia hyo hyo na wamepata matokeo mazuri kumbe sababu ni lifestyle pia
22/10/2025
SOME BY MI AHA.BHA.PHA 30 Days Miracle Cream β moja ya bidhaa maarufu kutoka Korea ya Kusini inayotumika kwa matunzo ya ngozi yenye matatizo k**a chunusi, makovu, na ngozi yenye mafuta.
πΏ Maelezo ya Bidhaa:
SOME BY MI AHA.BHA.PHA 30 Days Miracle Cream
60g
Viambato muhimu:
Centella Asiatica 70% β hutuliza na kutibu ngozi iliyowashwa au yenye vipele.
Tea Tree Extract ppm) β husaidia kupunguza bakteria wanaosababisha chunusi.
AHA, BHA, PHA β exfoliants ambazo huondoa seli zilizokufa, kusafisha vinyweleo, na kufanya ngozi kuwa laini na angβavu.
π§ Jinsi ya Kutumia:
1. Safisha uso wako vizuri (tumia cleanser ya AHA.BHA.PHA ikiwa una nayo kwa matokeo bora).
2. Paka toner (hiari lakini inapendekezwa).
3. Chukua kiasi kidogo cha Miracle Cream na upake usoni kwa upole.
4. Massage taratibu hadi cream inyonywe vizuri na ngozi.
5. Tumia asubuhi na usiku (angalau mara 2 kwa siku).
6. Ukiitumia asubuhi, hakikisha unapaka sunscreen kwa sababu AHA/BHA inaweza kufanya ngozi iwe nyeti kwa jua.
β³ Matokeo Yanayotarajiwa:
Siku 7β10: Ngozi inakuwa tulivu, mafuta yanapungua, na chunusi ndogo hupungua.
Siku 14β21: Ngozi inaanza kuwa angβavu, makovu madogo na alama za chunusi hupungua.
Baada ya siku 30+: Ngozi inakuwa safi, yenye unyevu, laini, na tone la ngozi linaanza kuwa sawa.
β οΈ Tahadhari:
Usitumie pamoja na bidhaa zenye retinol, vitamin C nyingi, au exfoliants nyingine ili kuepuka muwasho.
Ikiwa ngozi yako ni nyeti sana, anza kwa kuitumia mara moja kwa siku kisha ongeza taratibu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Fatma's Luxe Home & Beauty posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.