Msewe College

Msewe College

Share

Early childhood Education

31/05/2026

Je umesoma kombi za art form six ? (HKL,HGL,HGK,HGE, KLF n.k)
Siyo lazima usome Education au Sheria Chuo kikuu.

Sisi Msewe College tunakushauri soma kozi nyingine zinazo kufaa na zina uhakika wa kupata kazi baada ya chuo.

Soma:-
1. Aviation Management
2. Digital Marketing
3. International Business
4. Economics
5. Accounting and Finance
6. Psychology hasa za watoto, mfn ECDE,
7. UI/UX Design
8. Animation and VFX
9. Business Analytics
10. Supply Chain and Logistics
11. Luxury Brand Management
12. Game Design
13. BCA in Artificial Intelligence (hapa wengi watabisha ila ukweli ndiyo huo AI adi wa arts wanasoma)

Msewe College tunapokea wanafunzi wa:-
1. Form Five na Six. (Sifa uwe na credits 3 yaani kati ya C au B au A ) ata k**a haujabalansi kombi
2. Wanaorudia mtihani wa Form four (k**a una C Mbili njoo tukusaidie upate nyingine moja uingie form five)
3. QT
4. Kozi ya Kompyuta
5. Ualimu wa chekechea na malezi (utapata cheti cha Ustawi/ Montessori)
6. Urembo na ususi
7. English course ...n.k
Tupo Dar ,es Salaam ,Ubungo karibu kabisa na stendi ya Mawasiliano
Tupigie 0676 240 948

10/05/2026

SHERIA NA SERA YA MTOTO TANZANIA
By Msewe College, Ubungo, Mtaa wa NHC

Sehemu ya 1

Tanzania iliridhia *Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto* mwezi Juni 1992. Kutokana na huo mkataba, serikali ya Tz ikatunga *Sheria ya Mtoto Na. 21 ya Mwaka 2009*.
Sheria hii inahakikisha mtoto yeyote mwenye umri wa miaka 0 hadi 18 anapata huduma za msingi: k**a afya, elimu, lishe, na ulinzi wa kijamii
Sheria hii ilisainiwa na Rais Jakaya Kikwete tarehe 20 Novemba 2009.. Ndiyo maana inaitwa Sheria Na. 21 ya 2009.
*Kazi ya Sheria hii ni:*
1. Kuunganisha sheria zote zinazohusu watoto ziwe moja
2. Kutaja haki za mtoto na kulinda ustawi wake
3. Kuweka utaratibu wa malezi ya kambo, kuasili mtoto, na uangalizi wa mtoto
4. Kudhibiti ajira za watoto
5. Kushughulikia watoto wenye makosa

*SHERIA YA MTOTO JUU YA DAY CARE ZETU*
Vituo vya kulelea watoto wadogo, Sheria inampa Kamishna wa Ustawi wa Jamii mamlaka ya kusajili vituo vya kulelea watoto.
Sheria inakataza kulea mtoto mwenye umri chini ya miaka 5 kwenye vituo hivyo.

*MHIMU*

Mtoto kuanzia miaka 0 adi 2 atalelewa kwenye _Crèches_

Mtoto kuanzi miaka 2 adi mitano atalelewa kwenye __DAY CARE_ CENTRE_

*Haki za Mtoto*

1. Kutambuliwa k**a mtoto ikiwa ni mtu chini ya miaka 18.

2. Kuishi bila kubaguliwa kwa namna yoyote.

3. Haki ya kuwa na jina na uraia.

4. Kuwajua wazazi wake wa asili na ndugu wengine wa karibu

5. Kupata elimu, chanjo, chakula, mavazi, malazi, na matibabu.

6. Haki ya kupumzika na kucheza.

7. Kutotumikishwa kazi nzito inayoweza kuaribu afya, elimu, akili, au maadili yake.

8. Haki ya kuishi chini uangalizi wa wazazi/walezi wake.

*Wajibu wa Mtoto*

1. Kudumisha umoja wa familia.

2. Kuheshimu wazazi, walezi, wakubwa, na wazee na kuwasaidia wakihitaji.

3. Kuitumikia jamii na taifa kwa kutumia akili na nguvu zake kulingana na umri wake.

4. Kudumisha umoja wa kitaifa.

5. Kuhifadhi na kuimarisha mila na desturi nzuri za jamii yake.

6. Kusoma.

7. Kucheza.

Tutaendelea sehemu ya 2
Kwa Elimu hii na dondoo muhimu jiunge na Msewe College katik program zifuatazo

1. Ualimu wa chekechea na malezi 1,300,000 (upate cheti cha Ustawi/ Montessori, )
2. Kompyuta 250,000

01/05/2026

Heri ya siku ya wafanyakazi

05/04/2026

Hari ya Pasaka

03/04/2026
08/03/2026

❤️

07/03/2026

Pre-form five.
jiunge nasi kwa masomo ya Pre-form five katika combination za
1. Sayansi k**a PCM,PCB
2. Biashara k**a EGM, HGE
3. Sanaa k**a HGL, HGK
pia zipo nafasi za form five na six kwa mwaka mmoja. (sifa uwe na C tatu) ata k**a haujabalansi kombi
Tupo ubungo, karibu kabisa na Stendi ya Mawasiliano
0676 240 948 -formfive

08/01/2026

UDAHILI UMEFUNGULIWA MSEWE COLLEGE – MWAKA WA MASOMO 2026!
Karibu kujiunga na Msewe College utimize ndoto zako katika program zifuatazo
1.Kozi ya Ualimu wa Chekechea na Malezi 👶 (utapata cheti cha Ustawi/Montessori)
2. Kozi ya Kompyuta 💻
3. Kozi ya Urembo na Ususi wa Nywele 💇‍♀️
4. Kozi ya Secretarial 📑

Pia Tunatoa Programu za Masomo:
Kidato cha 1 & 2 (FTNA)
Kidato cha 3 & 4 (CSEE)
Kidato cha 5 & 6
Pia tunatoa nafasi kwa Wanaorudia Mitihani (Resitters) kufaulu ni uhakika

💸 Ada Zetu ni Nafuu!

Jiunge na Msewe College leo na uwe sehemu ya familia yetu, mahali ambapo Elimu Bora inakutana na Ubora!

📍 Location: Ubungo, karibu na Mawasiliano Stendi
📞 Simu: 0676 240 948 / 0766 253 520

✨ Msewe College —Tunaandaa kesho yako

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Dar Es Salaam