Dasuu store
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dasuu store, Dar es Salaam.
Mashine hii inakazi nyingi sanaa unafanya tu kubadilisha dai zake .inatumika kuweka matundu/ matobo kwenye nguo k**a vile nguo za harusi n.k, inagonga vifungo vya chawa, inagonga vifungo vya bati size zote .,inaweka urembo wa Pete kwenye vifungo
Utaipata Kwa sh laki Moja (100000)tu ikiwa na dai 2.ambapo ni dai ya vifungo vya bati size 40 na dai ya kuweka matundu size 28
Karibuni sanaaa tucheki Whatsapp no 0699323997
Mashine hii inakazi nyingi moja wapo ni kuweka matobo / matundu kwenye nguo , kuweka vifungo vya chawa , kuweka vifungo vya bati vya ukubwa mbalimbali
Unapata ikiwa na dai mbili Kwa sh laki Moja tu ikiwa na dai mbili za matundu na dai ya vifungo vya bati
Nicheki na 0699323997 delivery ipo mkoani pia unatumiwa
Mashine hyo ya kuweka vifungo vya bati size 40 na matundu size 28 Bei ni laki Moja tu karibun sana
Nicheki namba 0699323997
K**a upo dar es salaam delivery ipo mkoani unatumiwa pia
15/07/2026
Karibu sana tunatuma mzigo mikoa yote na k**a upo dar es salaam delivery ipo nicheki Whatsapp no 0699323997
10/07/2026
Mteja wangu hyu alimtuma ndugu yake aje amfatie Dukan karibun sana tunapatikana makumbusho stendi dar es salaam.
Ukija Dukan hutakosa cha kununua we njoo na pesa tu tucheki Whatsapp no 0699323997
09/07/2026
Tunatuma mzigo mikoa yote karibun sana nicheki Whatsapp no 0699323997
19/05/2026
Tunatumia mizigo mikoa yote tucheki Whatsapp no 0699323997 tupo makumbusho stend Dar es salaam
19/05/2026
Tunatumia mizigo mikoa yote nicheki 0699323997
Pearl fixing machine hii mashine ya kuweka stone kwenye nguo k**a vile abaya , guberi, gauni ,nguo za harusi na watoto, mikoba ,viatu, vibanio vya nywele ,juba , khimar na mitandio k**a Mimi nilivyoweka kwenye mtandio wangu hapo
Bei yake ni 45000 unapata ikiwa na stone pakti ndogo unachagua rangi hizi tatu, white ,gold au silver
Karibu sana tunapatikan makumbusho stend tucheki no 0699323997 mkoani unatumiwa
06/05/2026
Hii mashine inatumika kuweka matundu kwenye nguo, inaweka vifungo vya chawa na bati pia inaweka na stone kwenye nguo utaipata kwa laki na kumi tu (110000) ikiwa na dai tatu kalibun sanaa
Mzigo wake soon unafika andaeni pesa matajiri zangu
Tunapatikan makumbusho stend nicheki Whatsapp no 0699312997 mkoani na nchi jiran unatumiwa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 06:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |